Author Archives: Meddy Kombo

RAFIKI – Izzo Bizness (Lyrics).

Bado ni ngumu Kusadiki / Yupi Rafiki na Yupi ni mnafiki mzandiki / Nasimama imara niko fit/ Nawapima watoto hizi level hawafiki / Nimesimama wima sitoki niite Kisiki/ Ubishi ni ule ule hata kama sisikiki / naamini kwenye Mungu mimi siziamini Kiki/ 2017 wa ...

Hapa Wakazi Tu (LYRICS).

VERSE 1 Nastahiki kufungiwa kimuziki kabisa/Kisa cha huyu msanii ni ka kisa cha Nabii Issa/Mbinguni nina hisa, with these bars/Hata nikioa Malaika, bado sitolewa sifa/Please God, not blasphemy comparin myself to Jesus/Let em ridicule, they did the same to ...