Author Archives: BATRO

Tukumbuke kumbukumbu ya Mr Ebbo.

Abel Loshilaa Motika ni jina lake halisi na Mr Ebbo ambaye ni msanii wa muziki wa bongo fleva ambapo ni msanii aliyekuwa na asili ya kimasai huku akifanya rap kwa tamaduni zile zile za kimasai. Na hii ni kuanzia katika lafudhi lakini uhalisi wa mavazi ili ...