Author Archives: BATRO

Na tukumbuke kumbukumbu juu ya Langa.

Hakika “hakuna mrukaji, aliefauru kuepa kifo” na uhalisi ni kwamba “upweke ni uvundo, ilihali kuondokewa si kwema” fedheha ya kila leo ni kubwa kwa ndugu, jamaa, marafiki lakini mashabiki wa hiphop kwa ujumla. Hii ni katika kifo cha Langa ambacho ...

Nikki Mbishi anapotoka kukataa mahojiano..

Nikki Mbishi anapotoka kukataa mahojiano. Mara zote hunena yakuwa “Hakuna muziki usiokuwa biashara” isipokuwa “Biashara inahitaji matangazo nyakati zote” Ndiyo maana tunaona kila leo makampuni makubwa ambayo tangu tumezaliwa yameku ...

Babuu wa Kitaa kurudi tena kwenye muziki..

Babuu wa Kitaa kurudi tena kwenye muziki. Kimbia akiwa akiwemo Langa na Mchiz Mox ni wimbo wake Babuu wa Kitaa ambao ni moja ya nyimbo bora za hiphop tulizonazo. Lakini Babuu kwa muda mrefu sasa amekuwa ni mtangazaji katika kituo cha Clouds Tv, hivyo muzi ...