Author Archives: BATRO

Ukimya wa Ali Kiba ni katika mipango mikakati yake.

Ukimya wa Ali Kiba ni katika mipango mikakati yake. Mkakati/mikakati katika upana wa maana wa yakuwa ni mpango maalum unaoandaliwa kwa ustadi mkubwa ili utumike kama njia ya kufikia lengo fulani. (Naam) Mashabiki katika uwingi ni lawama juu ya ukimya wa A ...

Darasaa bila hovyo na yupo ndani ya Zantel. (Naam).

Darassa bila hovyo na yupo ndani ya Zantel. (Naam) Njia za Darasa ni za upekee mno, na hakika ni zenye mvuto imara mbele ya wajuzi wa muziki na mashabiki walio na utashi kamili. (Naam) Hana hovyo hana kelele bali muziki wake katika upana. Huyu ni msanii D ...

‘Umri si namba tu bali maarifa na hekima’ Tid.

‘Umri si namba tu bali maarifa na hekima’ Tid  Waswahili hunena yakuwa “Bure ni malipo pasipo na sikio” Semi hizi hutupa uhalisia wa mengi katika nyakati zote. (Maisha) Tumesikitishwa na picha kadhalika picha nyongefu ya msanii Ti ...