Author Archives: BATRO

Dogo Janja ni vyema kuheshimu mahojiano.

Dogo Janja ni vyema kuheshimu mahojiano Mpendwa msanii Dogo Janja ni vyema kuheshimu mahojiano hata kwa ngazi ya mtandao. Lakini “utumwa mbaya ni kufikiri yakuwa mawingu ni mahala salama ilihali ni mahala pasipo na makazi ya kudumu” Ni jambo b ...

Lyrics By Nikki Mbishi.

Lyrics:1 Nilikuwa kituoni nikingoja daladala/ Nikamuona manzi mmoja akivuka barabara/ Viatu mchuchumio na Ana mdomo ka chuchunge/ Nikaona kwanza nivunge ningoje mpaka avuke/ Mkononi Ana mkoba mwekundu bastola nundu/ Sikuwa na mapepe nilikuwa nimepoa kizun ...