Author Archives: BATRO

PROF JAY AZUNGUMZIA TAMASHA LA DEMOCRACY IN DAR.

Moja kati ya wasanii wa  walioamua kuingia kwenye siasa ni Joseph Haule a.k.a Prof Jay ambaye ameamua kugombea ubunge katika jimbo la Mikumi Morogoro kupitia tiketi ya chama cha CHADEMA. Leo mapema katika hotel ya Kebby Hotel iliyopo Bamaga Dar es salaam ...

KALA JEREMIAH CHAGUA MTU SIO CHAMA.

Nchi ya ahadi ni nyimbo yake inayofanya vizuri wakati huu katika media mbalimbali,Kala Jeremiah ni moja kati ya wasanii wa hip hop wanaofuatilia sana swala la siasa.Licha ya Kala kufanya nyimbo za kuhamisha na kuelimisha katika nyimbo zake,kwasasa ameamua ...