Author Archives: BATRO

OMMY DIMPOZ NA TUZO YA PEOPLE’S CHOICE.

Ommy Dimpoz ni star anaefanya vizuri ambaye anatuwakilisha vyema katika ramani ya music wa Africa.Tangu atoe kazi ya kwanza ambayo ilikuwa ni Nainai aliyomshirikisha mkali Ally Kiba,Ommy ameendeleza kudhihirisha ukubwa wa kipaji chake kwa kuendelea kutoa ...

JABIR SALEH AMLIZA GODZILLA.

Jabir Saleh ni moja kati ya watangazaji bora  ambaye amekuwa akifahamika zaidi kwa jina la Kuvichaka au Kibonge Tozi.Jabir ambaye anafanya kipindi cha The jump off na Bongo.home kinachorushwa nakituo cha Radio Times Fm jijini Dar Es Salaam.Pia jabir ni m ...

DARASA NA HOFU YA KUGAWA MASHABIKI.

Haye heya ni wimbo wake msanii Darasa unaofanya vizuri akiwa meshirikiana na Mr Blue,Na wakati huu yuko katika hatua za mwisho kukamilisha video inayofanywa na Director Hanscana. Akiongea na Team tizneez Darasa hakusita kuweka wazi sababu zilizomfanya kut ...

DIAMOND PLATNUMZ AUPONGEZA UPINZANI.

Ikiwa ni saa chache tangu kutangazwa kwa Rais wa awamu ya tano wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Dk John Pombe Magufuli ambaye alikuwa ni mgombe wa Chama Cha Mapinduzi. Daimond amekuwa n miongoni mwa wasanii waliandika kuhusu ushindi huo, Kupitia ukurasa ...

NIKKI WA PILI “NIONAVYO SIASA HIZI”.

Nikki wa Pili ni msanii wa rap kutoka kampuni ya Weusi inayoundwa na wakali kama,Joh Makini,Bonta,Gnako na Lord Eyez. Katika kipindi cha kusubiri matokeo ya uchaguzi mkuu ambao ulijumuisha ngazi zote ikiwa ni Udiwani,Ubunge na Urais,wasanii mbalimbali wam ...