Author Archives: BATRO

BELLE 9 ANAMALIZA MWAKA 2015 KIUTOFAUTI.

Belle 9 ni miongoni mwa wasanii wakali wa muziki wa rnb kutoka hapa inchini tanzania,Belle ambaye miaka yote tangu afahamike kwenye muziki amekuwa akifanya vizuri lakini mwaka huu imekuwa tofauti zaidi. Video yake ya Shauri yao ndo video yake ya kwanza ku ...