Author Archives: BATRO

OMMY DIMPOZ SITAFANYA MUZIKI KWA MIAKA YOTE.

Nai nai ulikuwa wimbo wake wa kwanza kumtambulisha katika ramani ya muziki wa bongo fleva.Ommy dimpoz ambaye sasa anafanya vizuri na wimbo wake wa achia bod, licha ya kusema wimbo huo hakuwa rasmi kwa yeye kutoa. Ommy Dimpozi amesema “Mimi sitafanya ...

TID AMSAINI KR MULLER.

Mnyama Tid ambaye ni miongoni mwa wasanii waliochonga njia mpaka hapa bongo fleva ilipofika na kuonekana kuwa ni ajira inayoweza kuendesha maisha ya walio wengi. Tid ni mmiliki wa kampuni ya Radar Entertainment ambayo kwasasa imekuwa ikisaini wasanii mbal ...

STARA THOMAS AKWAZWA NA MH SUGU.

Stara Thomas, nyota mkongwe wa muziki ametoa ya moyoni kuhusiana na namna ambavyo msanii na mwanasiasa maarufu sasa, Joseph Mbilinyi ‘Sugu’ kumuwekea kinyongo ‘cha kisiasa’ na kumpita bila kumsalimia,licha ya mchango wake katika ta ...