Author Archives: BATRO

FID Q BIOGRAPHY.

Fid Q Fid Q akionyesha kidole cha shahada – akiashiria wimbo wake wa “Chagua Moja“. Jina la Kiraia Farid Kubanda Jina la kisanii Fid Q Nchi Tanzania Alizaliwa 13 Agosti 1982 Aina ya muziki Hip hop Kazi yake Mwanamuziki Ameshirikiana na J ...

DHAHABU KWENYE PUA YA NGURUWE.

Awali sikuwa nafahamu hasa, nini ilikuwa maana ya mtunzi wa msemo “Mwanamke mrembo asiye na akili ni sawa na pete ya dhahabu kwenye pua ya nguruwe.” Iliniwia vigumu sana kuelewa nini kilikuwa kimefichwa nyuma ya ujumbe wa huyu bwana. Kweli fumbo, mfum ...

MAPYA YAIBUKA DIVA THE BAWSE NA KIMBUNGA.

Mtangazaji wa Clouds Fm maarufu kama Diva The Bawse,ambaye amekuwa akisifika kwa vitu vingi ikiwemo ile ya sauti yake. Mapema mwaka huu katika mahojiano yaliyofanywa katika kipindi cha Mkasi Tv kinachoongozwa na mkali Salama Jabir,Diva alisema “hape ...