Author Archives: BATRO

TOP TEN MC’OF ALL TIMES TZ By NIKKI WA PILI.

Rapper kutoka Weusi kampuni Nikki wa Pilli ambae kupitia mtandao wa picha Instagram alipost top ten yake ya mc’off all times kutoka hapa nyumbani tz. Katika top ten hiyo msanii wa kwanza ni Mr II Sugu Prof Jay Arbert Mangweir Joh Makini FA Fid Q AY ...

BEN PAUL “MUACHE DHARAU”.

Ben Paul ambaye hupenda kujiita king of Rnb,ambaye pia kwasasa yupo katika mash up ya coke studio na ameendelea kuonyesha uwezo wake wa kuimba live katika mash up hizo. Kupitia ukurasa wake wa Fcebook Ben paul ameandika “Huyu ni @mayungaa Mshindi wa ...

B DOZEN AELEZA ALIPOKOSEA RAY C.

Mtangazaji maarufu wa kituo cha radio Clouds fm ambaye anatangaza kipindi cha mchana maarufu kama XXL,Hamis Mandi a.k.a Bdozen ambaye ni miongoni mwa watangazaji machachari wanaofanya vizuri katika vipindi vya burudani. Kupitia kipindi cha mkasi ambapo al ...