Author Archives: BATRO

Tofauti ya wakazi na wasanii wengi tofauti..

Tofauti ya wakazi na wasanii wengi tofauti. Ukizungumza juu Album mbele ya mashabiki, wadau au wasaniii wa Bongo Fleva/Hiphop majibu ya walio wengi watakujibu Album hazilipi, Album haiuzi au Album ni biashara ya muziki wa zamani. Lakini Album ina umuhimu ...

“Zima kiki washa muziki” Amber Lulu.

“Zima kiki washa muziki” Amber Lulu Afanyaye jema msifu kwa jema lake. Ni wazi tumepata wasaa mwema wa kusikiliza wimbo ambao ameshirikishwa Amber lulu na msanii aliyechini ya mwamvuli wa hiphop Edu Boy. Wimbo huo umebeba wasanii wengine kama ...