Pakua Kachi-Presidential Kinda Stuffs.

Kachi mkali kutoka Mji Kasoro bahari (Morogoro) ameachia EP yake ya kwanza Presidential Kinda Stuffs yenye jumla ya nyimbo 9 zilizoshiba ambazo zimefanywa na waandaaji tofauti tofauti. Unaweza kupakua wimbo mmoja mmoja au EP yote hapa hapa.   Presid ...

Mchiz Moxie umeshindwa kuiga mfano wa Jay Mo?.

Mchiz Moxie umeshindwa kuiga mfano wa Jay Mo? Tunajua ukaribu wenu tangu mpo Wateule, na hakika mlifanya kazi bora zenye maisha ya nyakati zote kwenye huu muziki. (Hakika) Na ikumbukwe Wateule inaundwa na Solo Thang, Jaffarai, Jay Mo na Mchiz Moxie. Na ni ...

Wimbo Like a star Msanii King Saver.

King Saver ni msanii kutoka Tanzania Dar es salaam (Tabata) ambapo kwa sasa yupo Hong kong katika harakati zake za maisha, lakini hajautupa muziki ambao tangu yuko Tanzania alikuwa akifanya. Like a star ni wimbo wake ambao ameachia nyakati hizi, na tumeon ...