Monthly Archives: September 2018

Dully Sykes ana tatizo la Young Killer kwa Harmonize.

Dully Sykes ana tatizo la Young Killer kwa Harmonize? Kudamshi ni wimbo mpya wa mkongwe Dully Sykes akiwa na Harmonize. Hakika wimbo huu una uzito wa juu katika usasa. Ni wazi ghahabu ya Harmonize katika kuonyesha ukuaji wake wa uimbaji wa kila leo ni mfa ...

Je! Fid Q ni msanii mkubwa asiejielewa? Sehem ya II.

Soma sehemu ya kwanza hapa Je! Fid Q ni msanii mkubwa asiejielewa? Sehem ya I Sehemu ya II soma chini Je! Fid Q ni msanii mkubwa asiejielewa? Sehem ya II Upana wa semi ya ‘kujielewa’ ni mkubwa kwa maana ya utambuzi wa kujua namna ya wewe/yeye ulivyo/a ...