Monthly Archives: September 2018

Nandy ni nafasi gani unatoa kwa watunzi?.

Nandy ni nafasi gani unatoa kwa watunzi? Kweli humuweka mtu huru daima, tumekuwa na usikivu mzuri wa kipindi cha Ladha 3600 cha kituo cha Efm ambacho kinaongozwa na Jabir Saleh. Ambapo Nandy amekiri yakuwa “yeye ni msanii mwenye kutungiwa nyimbo zak ...

Hivi miss Nigeria wanaweza kutumia nyimbo za Tanzania?.

Hivi miss Nigeria wanaweza kutumia nyimbo za Tanzania? Hakika ujuzi wa kujua ‘Jinsi’ na ‘Kuwa’ ni changamoto kwa wengi katika upana wa mengi yenye mengi hasa kwenye upana wa uhalisi wa uisho wa uzalendo. Ni kheri ajuaye ‘Jinsi’ ya upana wa uza ...

Nuh Mziwanda shika njia yako na uende zako..

Nuh Mziwanda shika njia yako na uende zako. Daima husisitiza yakuwa muziki una nguvu kuliko matendo yasiyo na upana wa muziki. Na mwisho wa matendo hayo hubaki fedheha kwa msanii mbele ya wajuzi na jamii. Miaka mitatu nyuma Nuh hakuwa msanii mwenye kuhesh ...