Monthly Archives: September 2018

Eti! Hiphop haiuzi? una akili wewe?.

Eti! Hiphop haiuzi? una akili wewe? Dunia nzima “Hakuna muziki usiokuwa biashara” na andiko hili tuliandika 2016 katika fafanuzi pana mno. (Hakika) Hakuna chukizo kwetu kama tukisikia mtu akinena eti hiphop haiuzi? hivi haiuzi wapi? mliwahi ku ...

Kumpa mahojiano Dudu Baya ni upuuzi..

Kumpa mahojiano Dudu Baya ni upuuzi. Heshima ya kipaza ya chombo cha habari iko wapi?, mbona vipaza vinawekwa mbele ya watu ambao wamejaa hovyo?. Hivi kweli habari za hovyo ndiyo pendwa kwa jamii?. (Soni) Ipi ni habari kwa Dudu Baya? Mbona haina maana wal ...