Monthly Archives: March 2018

TANZIA! Agness Masogange afariki dunia.

TANZIA. Video queen Agness Gerald  ambaye anafahamika zaidi kwa jina la Masogange amefariki Dunia leo katika Hospitali ya Mama ngoma Mwenge. Ambapo mpaka sasa haijajulikana hasa ni hasa ni chanzo cha kifo chake. Tizneez Media Group tunatoa pole yetu kwa ...

Diamond akiri yakuwa Ali Kiba ni Mfalme..

Diamond akiri yakuwa Ali Kiba ni Mfalme. Hakika ni posti nzuri ya Diamond kwa maoni ya ukawaida lakini kwa maono ya mbali ni katika kufuata upepo. Ni wazi leo habari ni Ali Kiba na ndoa yake, licha ya Diamond kwenda Tcra lakini haikuwa ni habari yenye ngu ...