Monthly Archives: January 2018

Wimbo wa Kaolewa ni kiwango cha Rostam kweli?.

Wimbo wa Kaolewa ni kiwango cha Rostam kweli? Kaolewa ni wimbo mpya wa Rostam kwa maana ya Roma na Stamina. Ambapo Riyama Ally, Atan na Magic ni wasabii shirikishwa wakati Bea akiwa ni mzalishaji toka Kili Recods. Na tumekuwa miongoni mwa watu wa mwanzoni ...