Monthly Archives: June 2017

‘Msitu mnene haukosi vibweka’ Madee..

‘Msitu mnene haukosi vibweka’ Madee. Ya nini tuutukuze uongo ilihali tu tuchekeane kiunafiki? Ni wazi hapa ni mahala pakusema ukweli wakati wote bila kujali nani ni nani. Ingawa kwenye uhalisia “Ukweli unauma” lakini msisahau pia ukweli ni dawa. K ...

Diamond Platnumz tupe talaka tatu.

Diamond Platnumz tupe talaka tatu Diamond yupo kwenye kilele cha Mlima Kilimanjaro. .Anawatazama Watanzania na wanamuziki wenzake kwenye viunga vya mji wa Moshi. Game la muziki liko chini ya soksi zake. Analiendesha. Analiamrisha na linamtii. Anajituma. A ...