Monthly Archives: June 2017

Belle Ataja nyimbo 5 anazozipenda wakati wote..

Belle Ataja nyimbo 5 anazozipenda wakati wote. Mkali wa Rnb kutoka Morogoro Belle 9 ambaye sasa anafanya vyema na wimbo wake wa Give it to me ambao amemshirikisha G nako,lakini pia Belle 9 amewahi kufanya vyema na wimbo kama, Sumu yap penzi,Masogange , Sh ...

Kemosabe Lyrics By Fid Q.

Kemosabe ni wimbo mpya Fid Q ambao ameutoa kama zawadi kwa mashabiki wake na mashabiki wa hiphop kwa ujumla. Hii mistari (Lyrics ambayo inapatikana katika wimbo huo, isome hapa chini. Niliamini mapene hayatoshi..na niki-hustle siyakosi/ Sababu.. sipo kwen ...