Monthly Archives: June 2017

Usimsahau mchizi Lyrics By Roma X Moni.

  Huu ni wimbo mpya wa Roma pamoja na Moni, na hapa tumekuwekea mashairi yake. Usimsahau mchizi Lyrics By Roma X Moni (Beat starts) Aaaah!! Bin Laden!! (Tongwe Records) Majengo sokoni wazazi wametulea kwa kuuza gongo/ Ambapo kujiuza na drugs ndo̵ ...

Video: Dyna Nyange ft Billnas-Komela.

Baada ya muda kupita hatimaye Dyna Nyange ameamua kufyatua video ya Komela. Tazama hiki kideo kisha tuambie umeona mabadiliko gani ukilinganisha na video zake zilizopita kisha unaweza kuirate ngoma kuonyeza umeikubali kwa nyota ngapi. Pongezi kwa Mwongoza ...