
Diamond Platnumz – Sikomi (Official Video).
This Video was Shot by Kenny Under Zoom production Dar es salaam Tanzania. ...
This Video was Shot by Kenny Under Zoom production Dar es salaam Tanzania. ...
Young Killer Msodoki – Hujanileta (Official Music Video) ...
Kivuko atumiacho Aslay kuwavuka wasanii wengi ni uandishi. Ni wazi ukitaja listi ya wasanii ambao wameweza kuirudisha ile bongo fleva yenyewe ni Aslay. Bongo fleva ilijaa uandishi mzuri mno tangu kuchipua kwake,lakini miaka mitatu nyuma tumeona namna ya u ...
“Ng’ombe akivunjika mguu malishoni hurejea zizini” (Ruby Na Clouds Media Group) Waswahili husema “Moto ukizimika majivu hayana thamani” Bila kupepesa macho wala kuuma maneno ni wazi Ruby ni msanii ambaye amezimika na majivu y ...
Kuna faida kubwa kibiashara kwa Roma na Stamina kumtumia Dr Shika. Ni masaa kadhaa yamepita tangu kundi la Rostam linaloundwa na Roma na Stamina kutoa karata yao ya pili ambao ni wimbo wa kiba 100. Wimbo wa kwanza ulikuwa unaitwa Hivi ama vile ambao kwa n ...
Dully Sykes Anafahamu yakuwa muziki umebadilika? Huwezi kutaja wasanii bora 10 wa muda wote bila kutaja jina la Dully Sykes, ambaye ni wazi ni moja ya wasanii ambao wamechangia vyema kukua na kuenea kwa bongo fleva ndani ya nchi lakini pia nje ya nchi. #T ...
Nguvu iliyotumika kusema mabaya ya Ferooz itumike sasa kwenye uzuri wake. Sijui tunaishi katika dunia ya aina gani katika muziki wa kizazi kipya, kwa maana walio na nguvu ya kusema wakati wote hupenda kuhubiri mabaya Zaidi na sio mazuri yenye maana kubwa ...