Monthly Archives: June 2017

Mambo 6 yaliochangia kurudisha muziki nyuma 2017..

Mambo 6 yaliochangia kurudisha muziki nyuma 2017. Hatuwezi kwenda mbele kama hatutazamani wapi tumetoka, yafaa tutazame makosa yako wapi na ni kwa namna gani tuweze kuyaepuka ili tuweze kupiga hatua kubwa Zaidi katika maendeleo ya muziki wetu ambao kwa ha ...

Baraka Lyics By Izzo Bizness Feat Juma Nature.

ilianza kama ndoto na si masihara/ Kuna time ilipita hata bila ya kula/ Hatukusikitika tulishukuru kwa mola/ Na kila baya tulilizuia kwa sala (Amen)/ Mama Baba walishikana wakavumiliana/ kuna mifano tunaiona wengi tu wanaachana/ inapoingia shida dhiki huf ...

Kunywa maziwa Lyrics By Nikki Mbishi.

KUNYWA MAZIWA Hook: Aisee tunywe Maziwa / Ukiacha vumbi vipi mimoshi tunatumia/ Najua nyote mnanisikia / Na kama ikiwaingia msikose kunywa MAZIWA / Lyrics:1 Sigara nyingi glass moja ya Maziwa mwisho wa mwezi / Wakati kwa siku unavuta paketi tatu za fegi/ ...

Fahamu kuhusu Album ya Zay ya mwaka 2002..

Fahamu kuhusu Album ya Zay ya mwaka 2002. Zay B  ni msanii wa hiphop ambapo miaka ya 2000 aliweza fanya vizuri katika uwanja wa muziki wa kizazi kipya. Na mwaka 2002 aliweza kutoa album yake ya kwanza ambayo inaitwa Mama Afrika. Kwenye album hii kuna  n ...