Monthly Archives: September 2016

KIKAO CHA WASANII CHA KISANII Sehemu ya II.

Nianze kwa kumshukuru Mungu kwa siku nyingine amani na utulivu katika nchi yangu,Huku wengi wapenda maendeleo tukifurahi kwa ushindi wa Mbwata Samatta kwa kutunyanyua watanzania baada ya kuwa mchezaji bora Afrika anayecheza ligi ya ndani.Hii haijagusa wap ...

KIKAO CHA WASANII CHA KISANII.

Muziki wa Bongo Fleva /hiphop ni muziki unaongelewa zaidi mtaani na hata kuchezwa zaidi katika media house za ndani na nje ya nchi pia.Ila wapo walio wengi wasiojua mziki huu ulianza lini. Bongo fleva/hiphop ulianza miaka ya 1990 hasa ikiwa ni muigo wa ku ...

LADY JAYDEE AANZA MWAKA NA SAUTI SOUL.

Give me love ni wimbo wake komando Jide ulioachiwa mwaka jana ambao alifanya na Mazet Uhuru nchini Afrika kusini.Jide ambaye ni mkongwe na msanii pekee wa kike aliyeweza kudumu kwa miaka yote tangu aanze muziki licha kuwepo kwa changamoto nyingi katika mz ...