Monthly Archives: September 2016

Izzo Bizness Umesahau mzoea punda hapandi farasi?.

Izzo Bizness Umesahau mzoea punda hapandi farasi? ‘Mzoea punda hapandi farasi’ msemo huu unaenda sawa na muziki wa kizazi kipya katika mlengo wa jinsi wasanii vile ambavyo wanaendesha muziki wao. Katika uhalisia watangazaji na madj wamekuwa wazuri kat ...

‘Heri kufa macho kuliko kufa moyo’ Noorah.

‘Heri kufa macho kuliko kufa moyo’ Noorah Ice Cream ni moja kati ya nyimbo bora za wakati wote katika muziki wa kizazi kipya. Noorah ni mmiliki halali wa wimbo huu, lakini huwezi kuacha kusema ndiye msanii ambaye alileta swag za kiswanglishi. Ukimya w ...

“Mimi namuunga mkono Ruby” Sehemu 6-5.

“Mimi namuunga mkono Ruby” Sehemu 6-5 “Mimi namuunga mkono Ruby” Sehemu 10-9 “Mimi namuunga mkono Ruby” Sehemu 8-7 Part 6 Mfumo ndio tatizo kubwa maana kwanza wasanii wamekuwa wengi kuliko wadau na hili bomu tulilitengeneza wenyewe wasanii wot ...

P Funk Majani na kivuli cha hayati Mwalimu Nyerere..

P Funk Majani na kivuli cha hayati Mwalimu Nyerere. Nyakati za kupata uhuru mwaka 1961 kutoka mikononi mwa muingereza kila mtanganyika alikuwa na maana yake juu ya neno “uhuru”. Hapa wapo wale ambao waliamini kuwa vita ya unyanyaswaji itakuwa imeisha ...

Rama Dee Aweka wazi kuhusu Lady Jaydee.

Rama Dee ni moja kati ya wasanii bora wa Rnb ambao tumebahatika kuwa nao katika ramani ya muziki wa kizazi kipya. Rama dee ambaye mpaka sasa anamiliki Album mbili ambayo ya kwanza ni Chini ya Uvungu wa moyo wangu na ya pili ni The Best Of Rama Dee. Licha ...

“Mimi namuunga mkono Ruby” Sehemu ya 8-7.

“Mimi namuunga mkono Ruby” Sehemu ya 10-9 :Part 8 Kweli rec lable ziliweza kusimamia kazi za sanaa na kuanza safari ya kubadilisha mziki kutoka kwenye mfumo wa BURUDANI hadi leo tunauita BIASHARA Sasa baada ya mziki kuwa unaingiza chochote kitu wadau ...