Monthly Archives: September 2016

Mwana FA-DUME SURUALI (Mashairi).

Artist: MWANA FA Song: DUME SURUALI Hudat hudat hii ni salam na ufahamu Kama unauza mapenzi sio kwa binam Hakuna haja ya kusubiri hii ni hukumu Hakuna kitu utapata utangoja kama askari wa zamu Dume suruali Dume kaptula Shauri zako mradi sipati hasara Usi ...

HAWA WASANII WAMETUACHIA FIKSI MPAKA LEO.

Na John Simwanza Tumesha zoea na imekua ni kawaida kwa msanii kuweka wazi mipango na malego yake ya mbeleni ili mashabiki angalau wapate kujua machache yatakayo jiri kwa msanii wao. Lakini huwa inakuja kuwa ni tofauti pale tu mashabiki wanapoona muda unaz ...

SALOME Lyrics By Diamond Platnumz feat. Ray Vanny.

Diamond ft. Ray Vanny-SALOME, [Verse 1: RayVanny] Kioo hakidanganyi mama Umejipodoa umepodoka Mwendo na shape vyote mwanana Mi suruali yanidondoka Tukimbizane nini Salome wangu? Hiyo michezo ya jogoo Mbona watizama chini Salome wangu? Ukimuona jongoo Inam ...