
Sallam Sk ‘’Ommy Dimpoz anamjua Zaidi Diamond kuliko ninavyomjua mimi’’.
Sallam Sk ‘’Ommy Dimpoz anamjua Zaidi Diamond kuliko ninavyomjua mimi’’ Meneja wa Kimataifa wa Mwanamuziki Diamond Platnumz, Sallam Sk amefunguka kwa kusema kuwa Muimbaji Ommy Dimpoz anamjua zaidi Diamond Platnumz kuliko yeye. Akiongea kupitia kip ...