Monthly Archives: December 2015

BANANA ZORO “NAAMINI KATIKA KIPAJI CHANGU”.

Ni moja kati ya wasanii wakongwe katika mziki wa bongo flava,ambaye tangu aanzishe The B band imeweza kudumu mpaka leo. Banana Zoro alizungumzia swala la wasanii wengi kuonekana wanafanya kazi zao na wasanii wa nje ambapo kwasasa imeonekana ni kitu kikubw ...

MAPYA YAIBUKA LINEX NA ADAM JUMA WAITANA MBWA.

Adamu juma ni moja kati ya waongozaji video wakubwa tuliobarikiwa kuwa nao hapa Tanzania.Adam Juma ndiye muongozaji anaeongoza kufanya video nyingi na wasanii walio wengi hapa Tz. Mapema mwaka huu msanii Linex alitoa wimbo wake wa salima aliyomshrikisha D ...