Monthly Archives: December 2015

MZUNGU KICHAA AVUNJIWA KIOO CHA GARI NA KUIBIWA.

Mzungu kichaa ni msanii anaefanya Bongo fleva mwenye asili ya Denmark lakini amekua hapa nchini Tanzania.Mzungu kichaa amewahi kufanya vizuri na ngoma zake kama,jitolee,Oya oya,wajanja,ujumbe na nyingine nyingi. Kupitia mtandao wa facebook Mzungu kichaa a ...

BONTA NA MZIMU WA NIKKI MBISHI.

BONTA NA MZIMU WA NIKKI MBISHI Sehemu ya Kwanza. _____________________ Nyakati ambazo mtangazaji wa maarufu aitwaye Fred Fidelis (Fredwaa) alikuwa akitangaza kipindi cha asubuhi (sikikumbuki jina) ila kilikuwa kina segmenti inaitwa ‘Sindano Tano za Moto ...