Monthly Archives: October 2015

JAY MOE AFANYA KAZI NA BARAKA DA PRINCE.

Hili game ndio kazi yake mkali Jay Moe inayofanya vizuri katika media mbalimbali hapa nchini.Ngoma hiyo ya hili game amefanya na mkali Deddy na imetayarishwa na producer bora wakti wote Pfunk Majani. Baraka Da Prince ni msanii aliyechipukia mwaka huu na k ...